12 Jul 2015

LILILOKUWA LIKISUBIRIWA SASA LIMETIMIA

WAKIUDHIHIRISHIA UMATI KUWA WAO SASA NI MWILI MMOJABAADA YA KUFUNGA NDOA YAO KWA KULISHANA KEKI YA UPENDO KATI MR & MRS MGUNDA KATIKA SHEREHE YAO ILIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA EAGT MJI MWEMA

HATIMAYE MCH. MGUNDA APATA JIKO

 ALICHOKIUNGANISHA MUNGU MWANADAMU ASIKITENGANISHE SASA NI MKE NA MUME
    UMATI WA WAUMINI WALIOHUDHURIA SHEREHE YA HARUSI HIYO
  HAWA NI BAADHI YA WAKUU WA DINI WA KANDA, MCH KADELEMA WA PILI KUSHOTO PAMOJA NA MCH. KASOMO WAKIFUATILIA KWA MAKINI SHEREHE HIYO
 ASK MLOYI NA MCH KULWA NAO WALIKUWEPO KWENYE HARUSI HIYO
 WAKIWA NA SURA ZA KUSHANGAMKA BAADA KUFUNGA NDOA YAO
 NDUGU WA BWANA HARUSI BAADA YA KUTOA ZAWADI YAO
NDUGU WA BIBI HARUSI WAKITOA ZAWADI ZAO NA KUWAPONGEZA MAHARUSI

2 Jun 2015

UBATIZO WA MAJI MENGI

 Hapa ni katika kuitimiza haki yote. Atakaye amini na kubatizwa ataokoka
 Mch. akimbatiza katika jina la bwana hii ni baada kuokoka katika mkutano uliofanyika EAGT Sinai
 wakiwa na nyuso za furaha baada ya kubatizwa wakiwa na mwalimu wao wa katikati waliosimama wa darasa la waongofu wapya
Wakiwa katika picha ya pamoja na wachungaji na askofu Mloyi hii ni baada ya kubatizwa

15 May 2015

MATUKIO KATIKA PICHA KANISA LA EAGT SINAI KIGOMA

Kwaya ya watoto wakiimba katika ibada


Kwaya ya watoto wakiimba katika ibada

Majeshi ya Yesu wakiimba sifa na kumtukuza Mugu njuu

Majeshi ya Yesu kazini wakimliza shetani

Kwaya ya Janda wakiimba

Kwaya ya EAGT sinai mwanga wakiimba katika ibada

Mwimbaji mama Daniel akiimba

Mwimbaji mama Daniel akimsifu Mungu

Waimbaji wa eagt sinai wakiimba

Mwimbaji Tren mbovu na kundi lake wakiwa tayari kuimba

Tren ,mbovu akiliongoza kundi lake kuimba

Waumini wakiwa wamesimama wakimsifu Mungu

MR Baraka akiwa kazini wakati wa kusifu

Askofu akizungumza jambo kwa wauminio

Mwimbaji Christopher Mwahangila akiimba

Mwimbaji Bruno akiimba
Mwimbaji Bruno akiongoza waumini kumsifu Mungu huku akiimba

Janda kwaya wakiimba katika ibada hiyo

YALIYOJILI KATIKA IBADA

Kiongozi wa Praise and worship akiwaongoza waumini kumuabudu Mungu

Waumini waliohudhuria ibada

waumini ibadani

askofu akimkaribisha muimbaji Christopher Mwahangila aimbe katika ibada


Muimbaji Christopher Mwahangila akiimba katika ibada

Waumini wakiimba pamoja na Christopher


waumini wakiwa wamejawa na furaha ya kutosha ibadani

Waimbaji Christopher Mwahangila na Tren mbovu wakiimba

Praise and waorship wakiongoza waumini kumuabudu Mungu abadani

Mzee wa kanisa akitoa matangazo katika ibada

      waimbaji wakimuabudu Mungu


Askofu akitambulisha baraza la wazee wa kanisa

Mama Kiongozi na Jenerali mkuu wa vikosi vya upambanaji katika ulimwengu wa roho

Muhubiri Nicodemus akiimba katika ibada

Ni mama aliyepokea uponyaji toka kwa Yesu akiwa mbele ya waumini na ndugu zake wakimyukuza Mungu

Nicodemus Mwahangila na mdogo wake Christopher Mwahangila wakiimba ibadani

14 May 2015

YALIYOJILI MKUTANO WA INJILI EAGT SINAI KIGOMA

 Mama mchungaji Isack Nchunga akiimba



Mamia ya watu waliohudhuria mkutano wakiwa wanaombewa

Huyu ni kijana aliyekuwa akisumbuliwa na kuteswa na shetani akipokea Uponyaji wake

Praise and Worship team wakimsifu Mungu

WINNERS wakiimba