1 May 2015

MKUTANO MKUBWA WA INJILI KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA EAGT SINAI MWANGA KIGOMA 29.4.2015


Winners Gospel Singers wakiimba katika mkutano 

Bangwe eagt wakimtukuza Mungu katika mkutano

Kwaya Eagt sinai wakimwimbia Mungu kwa mkutano

Kwaya ya FPCT majengo wakimsifu na kumtukuza Mungu

Kwaya ya wageni kutoka Janda wakiimba 

Mwimbaji BRUNO kutoka Mbeya akiimba

Mwimbaji kutoka Dar es salaam TREN MBOVU akiimba wimbo wa MZEE WA SIKU yaani YESU anapenda sifa

BRUNO akiimba 

Mwimbaji CHRISTOPHER MHWANGILA kutoka DAR ES SALAAM akiimba wimbo wa MUNGU NI MUNGU TU hayupo wa kushindana naye

Kiongozi wa sifa katika mkutano huo Mr HENELIKO RAULENT(MOSHI)akifanya yake kwa ajili ya utukufu wa MUNGU

Askofu wa EAGT jimbo la KIGOMA STEPHEN MLOY akitoa maelekezo ya MUNGU kwa mkutano

Mamia ya watu waliohudhuria mkutano wakiwa wametulia kufuatilia maombi toka kwa muhubiri wa mkutano


Muhubiri NICODEMUS akihubiri habari za YESU kwa mkutano

Muhubiri akiendelea kuhubiri

No comments:

Post a Comment