14 May 2015

EAGT SINAI MWANGA wakiimba katika mkutano
Gungu FPCT wakiimba kwenye mkutano huo

Buhoro kwaya wakiimba

TREN mbovu akiimba 

MWimbaji tren mbovu akiimba kwa staili nyingi mpaka miti akiimbisha

WANAFUNZI wakiwa makiniu huku wakiombewa

Kamati ya maandalizi ya mkutano,kutoka kusho ni mchungaji Steven Mloy,akifuatiwa na mwenyekiti wa mkutano Emmanuel Lusama akifuatiwa na kaimu mwenyekiti Moshi Laurent akifuatiwa na katibu wao Jeremiah Mwandi,akifuatiwa na muhasibu Eshi Mbise na Mshauri wao Mama Yasinn

Mwimbaji tren mbovu akiimba

Mwimbaji tren mbovu akiimba


Gungu fpct wakiimba kwenye mkutano

                KYGC wakiimba katika mkutano
WINNERS wakiimba kwa mkutano

No comments:

Post a Comment