5 Jul 2014

Mkutano wa injili CGM jimbo la Kigoma

Kanisa la EAGT jimbo la Kigoma limeandaa mkutano mkubwa wa injili wa vijana (CGM) unaoanza tarehe 1/07/2014 hadi 6/07/2014 katika kanisa la EAGT Sinai Mwanga - Kigoma. Mtumishi wa Mungu Mchungaji Nicodemus Mwahangila kutoka Mbeya akishirikiana na maaskofu, wachungaji pamoja na watendakazi wengine wanahudumu.
Kwaya mbalimbali kutoka Dar es salaam, na Kigoma zinahudumu. wagonjwa na wenyeshida mbalimbali wamefunguliwa kupitia jina la Yesu.
Mchungaji Nicodemus Mwahangila
 

No comments:

Post a Comment