29 Apr 2015

YALIYOJILI MKUTANO WA INJILI KATIKA VIWANJA VYA MKUTANO EAGT SINAI MWANA KIGOA 28.4.2015

Leo mkutano mkubwa wa injili umeanza rasmi,akiufungua mkutano huo askofu wa jimbo la kigoma eagt Stephen Mloy amesoma Mathayo 18;18-20 kuashiria kufunguliwa kwa mkutano.
askofu wa kanisa la eagt jimbo la Kigoma akifungua mkutano wa injili katika viwanja vya eagt sinai mwanga Kigoma leo tarehe 28.4.2015,
Kwya rasmi ya mkutano kutoka Janda wakimwimbia Mungu katika mkutano huo umeoanza leo hii katika viwanja vya eagt sinai mwanga kigoma
Kwaya ya PMC wakiimba katika mkutano huo hii leo
Mimbaji rasmi wa mkutano Mr Christopher mhangila akiimba kwenye mkutano ,
Muhubiri wa mkutano Nicodemus mhangila akakaribia madhabahuni kwa ajili ya kuanza kuhubiri injili ya Yesu kristo
Mamia ya watu walioicodemushudhuria mkutano huo wakiwa makini katika maombi kutoka kwa muhubiri Nicodemus
Mwimbaji Tren mbovu akiimba katika mkutano huo akiwa na kapmani yake.
Mwaimbaji Bruno akiimba akipewa sapoti na mwimbaji mwenzake maarfufu kwa jina la Tren mbovu
Kwaya ya wenyeji wa mkutano eagt sinai mwanga wakiimba

No comments:

Post a Comment