1 May 2015

YANAYOJILI MKUTANO WA INJILI VIWANJA VYA EAGTSINAI MWANGA KIGOMA 30.4.2015

Winners Gospel Singers Wakiimba kwenye mkutano

Mwimbaji mama DANIEL na mama PHILEMON wakiimba na kucheza kwa kumtukuza MUNBGU

Kwaya ya EAGT SINAI MWANGA wakiimba wimbo wao unao sisitiza tuyavue maovu yetu yote

Kwaya ya MMPT UJIJI KIGOMA wakiimba katika mkutano



Mwimbaji BRUNO akisema jambo kuhusu YESU,

Mwimbaji BRUNO akiimba


Mwimbaji CHRISTOPHER akiimba 

Mamia ya watu waliokusanyika katika mkutano wakimsifu MUNGU


Wahudumu wakiwa wamebeba bango lenye ujumbe kama uonekanavyo hapo

Ma fundi mitambo nao wakiwa vizuri katika kuleta usikivu mzuri 

Maombi yakiendelea katika mkutano

Wachungji kaziuni wakifanya maombi kwa umati wa watu waliomtaka YESU afanye mambo mema kwao

Mamia ya watu wakiwa kwenye uwepo wa MUNGU mikono juu wakiomba MUNGU awatendee mema

Muhubiri NICODEMUS akifanya maombi kwa watu waliomtaka YESU kwa maisha yao

Waimbaji kutoka kushoto aliyejifunga vitenge BRUNO,CHRISTOPHER,TREN mbovu wakiimba katika mkutano


No comments:

Post a Comment