KWANZA ALIFUNDISHA NENO LA MUNGU KWA KUTOA MAANA YAKE KUWA NENO LA MUNGU NI HALI MBALIMBALI AMBAZO ALIZOZIFANYA MUNGU KATIKA MBINGU NA NCHI, ALIENDA MBALI ZAIDI KWA KUSEMA KUWA HAPO ULIPO SURA YAKO NI KAZI YA MUNGU ALIYOIFANYA.......................................
NA BAADA YA HAPO
WATU WAKIENDELEA KUFUNGULIWA KUPITIA JINA LA YESU NA MTUMISHI WA MUNGU MCH. MASELE TOKA DODOMA
No comments:
Post a Comment